Hospitali ya Muhimbili imeandika historia kwa kufanya upasuaji wa kuwatenganisha mapacha waliokuwa wameungana sehemu ya tumbo na kifua kwa upasuaji wa kwanza kufanywa na madaktari wazawa wa nchi hiyo ...