Watu watatu wamekufa huku wengine karibu 270 wanaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali kadhaa mjini Nairobi kufuatia mkasa wa kulipuka kwa gari lililobeba mitungi ya gesi katika mtaa wa Embakasi.