MUZIKI sio tu burudani, bali pia ni sehemu ya maisha ya kila siku ya wasanii. Mistari inayoandikwa na wasanii mara nyingi hutokana na maisha yao halisi.
MSANII mkongwe nchini, Feruz Mrisho 'Ferooz' amejitapa kurudi katika gemu la muziki kama ilivyokuwa mwanzoni mwa miaka ya ...
Nimewasikia watu wengi wakisema kuwa “ hakuna kazi rahisi duniani”. Huenda kauli hii ina ukweli kwa kiasi kikubwa. Nimeamua kutanguliza usemi huu ili pengine uelewe kwa nini mwanamuziki mkongwe katika ...