Arusha. Mahakama ya Rufani nchini imetupilia mbali rufaa ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Kanda ya Ziwa, Wakili Steven Kitale dhidi TLS, Sekretarieti ya TLS na ...
Dar es Salaam. Iran imeongeza mashambulizi yake katika Mashariki ya Kati baada ya kuripotiwa kulenga Jordan, Bahrain, Kuwait na Qatar, hatua inayozidisha mvutano kati yake na Marekani pamoja na ...
Maswa. Wakati Tanzania ikiendelea kupambana na tatizo la ndoa za utotoni, mamlaka wilayani Maswa mkoani Simiyu zimefanikiwa kumuokoa mwanafunzi aliyekuwa amechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano baada ...
Dar es Salaam. Wananchi watapata fursa ya kupata chanjo ya homa ya ini, kupimwa, kuchunguzwa na kuanza matibabu bila malipo katika kambi maalumu itakayofanyika Julai 28, 2026, ikiwa ni sehemu ya ...
Reclaim your full access. Click below to renew. Renew subscription Maybe later Subscribe for a month to get full access Habel Chidawali Wrote articles Connect with Habel Chidawali: Latest articles ...
Washtakiwa 23 wanaoshtakiwa katika kesi mbili tofauti zenye kosa moja la kujihusisha na mikutano au mazungumzo yanayoweza kupelekea ugaidi wakifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza.
Dar es Salaam. Moja ya kauli zinazosikika mara kwa mara katika jamii ni kwamba mtu mwenye kisukari haruhusiwi kula sukari kabisa. Wapo wanaoamini hata tunda lenye utamu, kipande cha keki au kijiko cha ...
Dar es Salaam. Bei ya mafuta ghafi katika soko la dunia imevuka Dola 100 (takribani Sh 270,000) kwa pipa kwa mara ya kwanza ndani ya miezi miwili, kufuatia kuongezeka kwa mvutano wa kijeshi Mashariki ...
Rais wa heshima wa Simba, Mohammed Dewji 'MO' ameongoza mamia ya waombolezaji kwenye maziko ya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya klabu hiyo Iddi Kajuna. MO ameshiriki katika ...
Viongozi wa Ulinzi wa Tanzania na China wakishiriki maadhimisho ya miaka 99 ya Jeshi la Jamhuri ya Watu wa China jinini Dar es Salaam, Julai 2026. Dar es Salaam. Tanzania imeeleza umuhimu wa ...
Juzi, nilifanya ziara ya kikazi iliyoishia kuwa ya kisasi na visasi kwenye kaya moja ya kufikirika kutokana na maajabu na mauzauza niliyoambiwa na kushuhudia pale wadudu walivyothamini hadi mafyatu wa ...
Dar es Salaam. Jumuiya ya Wafanyakazi wa Kitaaluma wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOMASA) imeibua malalamiko ikidai ni ukiukwaji wa haki za msingi za mtuhumiwa, baada ya mhadhiri wa chuo hicho, ...