MKUU wa mkoa wa Tabora, Paul Chacha, ameipongeza timu ya Tabora United kwa kuendelea kufanya vyema kwenye michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara, huku akiiahidi kuizawadia Sh. Milioni 200 iwapo itamaliza ...
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Ubunifu wa Afrika Kusini, Dk Bonginkosi Nzimande amesisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa teknolojia ya anga kati ya Tanzania na Afrika Kusini. Dk Mzimande ...
Serikali imepiga marufuku matumizi ya dola za Marekani na sarafu nyingine za kigeni katika kunukuu bei, kuuza na kununua bidhaa ndani ya Tanzania, ikisisitiza kuwa Shilingi ya Tanzania ndiyo sarafu ...
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) 2025 leo, Jumatano Novemba 5, 2025, ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 0.93 ikilinganishwa ...
Zanzibar imefungua ukurasa mpya katika historia ya usafiri wa umma baada ya kuzindua rasmi huduma ya mabasi yanayotumia nishati ya umeme, hatua inayotarajiwa kubadilisha sura ya usafiri visiwani humo ...
Wilaya ya Rufiji kupitia Halmashauri, na taasisi nyingine za Serikali inaendelea na utekelezaji wa shughuli za maendeleo kama zilivyoelekezwa katika Ilani ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ya Chama cha ...
PASAKA ni Sikukuu muhimu sana katika kalenda ya Kikristo na huadhimishwa na maelfu ya watu duaniani. Pamoja na umuhumi wake ukweli huo, watu wengi wanasherehekea Pasaka pasipo kuifahamu vizuri.
MJADALA mzito umeibuka katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, baada ya upande wa utetezi wa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuibua hoja ya makosa ...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa wito kwa viongozi na wadau wa maendeleo mkoani humo kupambana na vitendo vya rushwa, akisisitiza kuwa tabia hiyo ni kikwazo kikubwa ...
Mkurugenzi wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Asangye Bangu, amewataka waendesha maghala kuzingatia uadilifu, uwajibikaji na utoaji wa huduma bora ili kuongeza ufanisi katika ...