MKUU wa mkoa wa Tabora, Paul Chacha, ameipongeza timu ya Tabora United kwa kuendelea kufanya vyema kwenye michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara, huku akiiahidi kuizawadia Sh. Milioni 200 iwapo itamaliza ...
MWANAFUNZI wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Kilima, wilayani Bukoba, Elius Antony (13), anadaiwa kuuawa kwa kukatwa panga shingoni kisha mwili wake kutelekezwa kichakani. Kamanda wa Polisi ...
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Ubunifu wa Afrika Kusini, Dk Bonginkosi Nzimande amesisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa teknolojia ya anga kati ya Tanzania na Afrika Kusini. Dk Mzimande ...
Asilimia 30 ya watanzania wanaathiriwa na maradhi ya shinikizo la juu la damu ama presha nchini, huku zaidi ya asilimia 50 ya idadi ya wagonjwa 300-500 wanaofika kutibiwa kibingwa huugua maradhi hayo.
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Kanda ya Kaskazini limesema limefanisha miradi yote mikubwa kama barabara, viwanda na migodi kuwa na cheti cha Tathmini ya Athari kwa ...
Serikali imepiga marufuku matumizi ya dola za Marekani na sarafu nyingine za kigeni katika kunukuu bei, kuuza na kununua bidhaa ndani ya Tanzania, ikisisitiza kuwa Shilingi ya Tanzania ndiyo sarafu ...
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) 2025 leo, Jumatano Novemba 5, 2025, ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 0.93 ikilinganishwa ...
Zanzibar imefungua ukurasa mpya katika historia ya usafiri wa umma baada ya kuzindua rasmi huduma ya mabasi yanayotumia nishati ya umeme, hatua inayotarajiwa kubadilisha sura ya usafiri visiwani humo ...
Wilaya ya Rufiji kupitia Halmashauri, na taasisi nyingine za Serikali inaendelea na utekelezaji wa shughuli za maendeleo kama zilivyoelekezwa katika Ilani ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ya Chama cha ...
MJADALA mzito umeibuka katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, baada ya upande wa utetezi wa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuibua hoja ya makosa ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results