Arusha. Mahakama ya Rufani nchini imetupilia mbali rufaa ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Kanda ya Ziwa, Wakili Steven Kitale dhidi TLS, Sekretarieti ya TLS na ...
Dar es Salaam. Iran imeongeza mashambulizi yake katika Mashariki ya Kati baada ya kuripotiwa kulenga Jordan, Bahrain, Kuwait na Qatar, hatua inayozidisha mvutano kati yake na Marekani pamoja na ...
Dar es Salaam. Wananchi watapata fursa ya kupata chanjo ya homa ya ini, kupimwa, kuchunguzwa na kuanza matibabu bila malipo katika kambi maalumu itakayofanyika Julai 28, 2026, ikiwa ni sehemu ya ...
Maswa. Wakati Tanzania ikiendelea kupambana na tatizo la ndoa za utotoni, mamlaka wilayani Maswa mkoani Simiyu zimefanikiwa kumuokoa mwanafunzi aliyekuwa amechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano baada ...
Washtakiwa 23 wanaoshtakiwa katika kesi mbili tofauti zenye kosa moja la kujihusisha na mikutano au mazungumzo yanayoweza kupelekea ugaidi wakifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza.
Dar es Salaam. Moja ya kauli zinazosikika mara kwa mara katika jamii ni kwamba mtu mwenye kisukari haruhusiwi kula sukari kabisa. Wapo wanaoamini hata tunda lenye utamu, kipande cha keki au kijiko cha ...
Dar es Salaam. Bei ya mafuta ghafi katika soko la dunia imevuka Dola 100 (takribani Sh 270,000) kwa pipa kwa mara ya kwanza ndani ya miezi miwili, kufuatia kuongezeka kwa mvutano wa kijeshi Mashariki ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew. Jeshi ...