Beki na nahodha wa Senegal, Kalidou Koulibaly, amesema hawezi kufananisha hatua ya kufuzu Kombe la Dunia na kutwaa ubingwa wa ...
BENIN imepanga kufanya vizuri kwenye mashindano ya Afcon 2025 ikiamini imeandaa kikosi chake kwa ajili ya kuonyesha makali ya ...
Tangu kuanzishwa kwa Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 1957, zaidi ya nchi 40 za Afrika zimeshiriki katika fainali za michuano ...
Michuano ya soka kuwania taji la mataifa ya Afrika, inaanza kutifua vumbi kuanzia siku ya Jumapili, Desemba 21 nchini Morocco ...
Super Eagles walipata pointi nne pekee katika pointi 15 wakati Osimhen alipokosekana wakati wa mechi zao ya kufuzu Kombe la ...
Tuliyukuandalia leo ni pamoja na timu za Afrika zimepangwa kwenye makundi gani katika Kombe la Dunia la mwaka ujao, nani ...
UFILIPINO; TIMU ya taifa ya wanawake ya mchezo wa Futsal ya Tanzania, imeaga michuano ya kombe la dunia baada ya kufungwa mabao 9-0 na Japan kwenye Uwanja wa Philsports mjini Manila, leo Novemba 29, ...
Tanzania imeandika historia kwa kupata ushindi wa kwanza kwenye Fainali za Kombe la Dunia la mchezo wa Futsal baada ya kuichapa New Zealand kwa mabao 4-2 leo huko Philippines. Ushindi huo umekuja ...
TIMU ya Soka ya Taifa ya mpira wa Futsal imewasili salama mjini Manila, Ufilipino juzi, tayari kwa michuano ya fainali za kombe la dunia inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi leo. Timu 16 zinatarajiwa ...
Kutofanikiwa kwa baadhi ya timu kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2026 huko Marekani, Canada na Mexico, kutafanya nyota baadhi wa soka kutoonekana katika mashindano hayo ambayo ni ndoto ya kila ...