KATIKA kipindi cha hivi karibuni, sekta ya sukari nchini imekuwa ikikumbwa na changamoto nyingi, hususan suala la bei za sukari kupanda kiholela. Baadhi ya viwanda vya sukari viliongeza bei ya sukari ...
NI siku 162 za Paul Makonda kushika nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambazo alizitumia kufanya ziara kwenye mikoa mbalimbali nchini, kutoa matamko mazito na ...
MKUU wa mkoa wa Tabora, Paul Chacha, ameipongeza timu ya Tabora United kwa kuendelea kufanya vyema kwenye michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara, huku akiiahidi kuizawadia Sh. Milioni 200 iwapo itamaliza ...
MJADALA mzito umeibuka katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, baada ya upande wa utetezi wa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuibua hoja ya makosa ...
Zanzibar imefungua ukurasa mpya katika historia ya usafiri wa umma baada ya kuzindua rasmi huduma ya mabasi yanayotumia nishati ya umeme, hatua inayotarajiwa kubadilisha sura ya usafiri visiwani humo ...
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Ubunifu wa Afrika Kusini, Dk Bonginkosi Nzimande amesisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa teknolojia ya anga kati ya Tanzania na Afrika Kusini. Dk Mzimande ...
Mkurugenzi wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Asangye Bangu, amewataka waendesha maghala kuzingatia uadilifu, uwajibikaji na utoaji wa huduma bora ili kuongeza ufanisi katika ...
Serikali imeeleza dhamira yake ya kuimarisha mazingira ya kazi na motisha kwa watumishi wa umma kama njia muhimu ya kuongeza tija, ufanisi na ubora wa utoaji huduma kwa wananchi katika sekta ...
SLOW implementation of government policy requiring public procuring entities, including local government authorities, to reserve 30 percent of the value of public tenders for youth, women, older ...
Naibu Waziri wa Afya, Dk. Florence Samizi, amekitaka Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUCOHAS) kuendelea kuzalisha wataalamu wa afya wenye ubora, weledi na maadili ya hali ya juu, ...